KARIBU KWENYE TOVUTI YA „Watoto Kwa Watoto“

Nancy Kurzinfo auf Deutsch: Simon’s Gastschwester Nancy hat unseren Willkommens-Text auf Kisuaheli – neben Englisch die zweite Landessprache, übersetzt.Quick explanation in English: Simon’s host sister, Nancy, was kind enough to translate our Welcome to Swahili.


KARIBU KWENYE TOVUTI YA „Watoto Kwa Watoto“.

Hapa unaweza kupata habari kuhusu Mradi wa usaidizi pamoja na ripoti na picha kutoka Ugari.
Mradi huu ulianzishwa mapema mwaka wa 2009, na vidokezo vyake vya kwanza vilifikiwa mwezi wa Oktoba mwaka wa 2009,siku ambayo Kwaya vijana wa Wilten iliandaa Mradi wa usaidizi huko Innsbruck.
Kwa ajili ya mafanikio na umoja wao na shule ya msingi ya Juliane Ugari, mradi huu utaendelezwa na unaelekea kwenye upeo mpya.
October 24, 2010, kwaya ya vijana ya Wilten itafanya kila iwezalo katika mradi huu.
Kamati ya waandalizi inawatakia furaha na starehe katika safari yenyu kwenda Ugari.

WordPress Themes